GET /api/v0.1/hansard/entries/588102/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 588102,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/588102/?format=api",
    "text_counter": 94,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "The President of the United Republic of Tanzania",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Kwa upande wa biashara Afrika Mashariki, Kenya ndiyo mshirika wetu mkubwa; hakuna nchi nyingine. Lakini biashara kati ya Kenya na Tanzania inakuwa kwa kasi kubwa sana. Katika miaka mitano iliyopita, na hata katika mwaka huu, ongezeko limekuwa kubwa zaidi. This showshow close and vibrant the investment and trading co-operation is between our countries. Lakini yote haya yanathibitisha mambo mawili. Unapochukua takwimu za Afrika Mashariki kuhusu biashara, hii biashara baina ya nchi zetu mbili ni kati ya asilimia 80 na asilimia 90. Thisunderscores how big the volume of trade is between our two countries . Wenzetu waliobakia wanagawana asilimia 20. Katika mazingira hayo, Kenya na Tanzania lazima washirikiane."
}