GET /api/v0.1/hansard/entries/588105/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 588105,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/588105/?format=api",
"text_counter": 97,
"type": "speech",
"speaker_name": "The President of the United Republic of Tanzania",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Ina masilahi kwa nchi zetu lakini pia ina masilahi makubwa kwa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki. Lakini tulichokifanya bado ni kidogo. Tunaweza kufanya zaidi ya tunavyofanya hivi sasa. Leo asubuhi nilipokuwa nikizungumza na baraza la biashara kati ya Tanzania na Kenya, niliwaambia kwamba Tanzania iko tayari kufanya biashara zaidi na Kenya, kuongeza uwekezaji kutoka Kenya na kuuziana zaidi. Tuna uwezo wa kupokea vitega uchumi vingi zaidi na fursa za uwekezaji ziko nyingi kwenye nishati, madini na uchukuzi. Nchi za Congo, Rwanda, Burundi, Malawi na Zambia wanatumia sana bandari la Dar es Salaam. Mizigo yao mingi wanaisafirisha kwa barabara. Wako wawekezaji kadhaa wa Kenya ambao wamewekeza Tanzania; biashara zao ni magari tu, wanabeba bidhaa za nchi hizo jirani. We have a lot of prospects because thoseeconomies are also growing, their volume of trade is increasing and our railway systems cannottake all the cargo . Kwa hivyo, ni eneo ambalo lina fursa nyingi kwenye agribusiness andmanufacturing."
}