GET /api/v0.1/hansard/entries/588109/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 588109,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/588109/?format=api",
"text_counter": 101,
"type": "speech",
"speaker_name": "The President of the United Republic of Tanzania",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Nimemalizia kwa kusema kwamba nitaondoka baada ya kumaliza kipindi changu. Naondoka nikiwa na furaha moyoni kwamba ninaacha nyuma uhusiano wa Kenya na Tanzania ukiwa mzuri kuliko wakati mwingine wowote katika historia ya hizi nchi zetu mbili. Ninawahakikishia kwamba hata baada ya mimi kuondoka, sera hiyo haitabadilika. Ninaijua nchi yangu vizuri. Labda tupate mtu mpumbavu kweli wa ajabu sana. Watu wa aina hiyo wako wachache sana Tanzania."
}