GET /api/v0.1/hansard/entries/588114/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 588114,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/588114/?format=api",
    "text_counter": 106,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "The President of the United Republic of Tanzania",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Ndio nikasema kwamba mgombea wa chama changu akipata, na nina hakika atapata, mambo yatakuwa mazuri zaidi. Nimezungumza naye leo na akanituma. Yuko Arusha leo. Amesema atanguruma kule. Ataelezea msimamo wake kuhusu Jumuiya ya Afrika Mashariki na msimamo wake kuhusu uhusiano na Kenya."
}