GET /api/v0.1/hansard/entries/588117/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 588117,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/588117/?format=api",
"text_counter": 109,
"type": "speech",
"speaker_name": "The President of the United Republic of Tanzania",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Ninamshukuru Mhe. Spika wa Bunge la Kitaifa na Spika wa Seneti kwa kunipatia fursa hii ya kuagana nanyi na kuagana na wananchi wa Kenya kupitia kwenu. Asanteni sana. Nimesema kwamba nikiwa Rais inakuwa taabu kidogo. Nikija baada ya kuwa Rais - sijajua mambo yanakuwaje - nadhani nitapata nafasi zaidi ya kukutana na marafiki wengi kuliko ilivyo hivi sasa. Wakati huo tutakutana."
}