GET /api/v0.1/hansard/entries/588409/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 588409,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/588409/?format=api",
    "text_counter": 276,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Kwa hoja ya nidhamu, Bw. Spika wa Muda. Ningependa kuuliza kama ni sawa kwamba Mwenyekiti wa Kamati hii, Sen. (Dr.) Khalwale, ambaye tunasikilizana sana, kusoma jibu kutoka kwa mtu ambaye hana mamlaka hayo. Juzi nilikuwa ninataka kusoma jibu kutoka National Hospital Insurance Fund (NHIF) ambalo lilikuwa limeandikwa na Mkurugenzi Mkuu. Wa kwanza kupinga kwamba nisisome nakala hiyo alikuwa Sen. Khaniri na aliyemfuata ni Sen. (Dr.) Khalwale. Leo yeye anarejelea msimamo ule ule wa kusoma barua. Seneti si mahali pa kusoma barua za watu hivi hivi. Hapana! The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}