GET /api/v0.1/hansard/entries/588411/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 588411,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/588411/?format=api",
    "text_counter": 278,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Yeye alete barua ya gavana na tutajua vile tunaweza kuihoji. Lakini akituletea barua ambayo imeandikwa na county secretary ama watu wengine, sisi hatuitambui hapa kama Seneti. Wewe mwenyewe Bw. Spika uliamua hivyo. Ulisema kwamba barua ya NHIF haitasomwa hata kama imeandikwa na Mkurugenzi Mkuu. Barua itakayosomwa ni kutoka katika Wizara ya Afya na sahihi ya Waziri wa Wizara hiyo. Mimi ningependa kuuliza kama ni haki kuisoma barua kama hiyo."
}