GET /api/v0.1/hansard/entries/588429/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 588429,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/588429/?format=api",
"text_counter": 296,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Hoja ya nidhamu, Bw. Spika wa Muda. Nimemsikiliza Sen. (Dkt.) Khalwale akiongea. Ninamshukuru kwa maana alikuwa anajaribu kujibu, lakini katika msemo wake, amesema wamekaa kwenye Kamati yao wakiwa Waheshimiwa sita na wakapitisha kuwa ripoti iletwe Seneti. Sen. (Dkt.) Khalwale, Seneti hii na Spika ni huyo huyo, aliamua kwamba itakuwa barua kutoka kwa yule mtu ambaye ni mkubwa katika ile Wizara ndiye atakayejibu. Hii, inajibiwa na gavana, leo tunaambiwa ni county secretary ndiye ana uwezo kwa sababu ilipitishwa. Ni hapa tena nikitoa mfano wa pili kwamba, magavana walikuja hapa na tukawahoji, kama vile impeachment ya Gov. Wambora, tulisema gavana ndiye mkurugenzi The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}