GET /api/v0.1/hansard/entries/588629/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 588629,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/588629/?format=api",
    "text_counter": 80,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Chea",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 1694,
        "legal_name": "Mwinga Gunga Chea",
        "slug": "mwinga-gunga-chea"
    },
    "content": "mahakama ambao wanaweza kusaidia katika suala hili, ikiwa mambo haya yote yatapita, yatatusaidia vilivyo kuhakikisha kwamba haki inapatikana na haki inafaa kupatikana mapema. Sina mengi ya kuzungumza lakini ningependa kusema kwamba huu ni Mswada mzuri. Ni muhimu tuunge mkono, upite ndiyo hatimaye wananchi waweze kupata haki zao."
}