GET /api/v0.1/hansard/entries/590493/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 590493,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/590493/?format=api",
"text_counter": 156,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Bule",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 1029,
"legal_name": "Ali Abdi Bule",
"slug": "ali-abdi-bule"
},
"content": "Asante sana, Bw. Spika. Mavazi yangu isiwe ni ya Hoja leo. Mimi ni Mwislamu na ni kawaida kwa Mwislamu, na haya ni mavazi ambayo kawaida na hata katika sheria yetu ya Bunge inaruhusu mtu awe na kanzu na koti. Pengine tasbihi ambayo nimebeba mkononi huenda ikawa mtu akaona kwamba ni geni. Hii ni kanzu wala sio tai. Kwa hivyo, mtu ajue kwamba kanzu inaruhusiwa Bungeni na iko katika maandiko."
}