GET /api/v0.1/hansard/entries/590609/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 590609,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/590609/?format=api",
"text_counter": 272,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen(Dr.)Khalwale",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 170,
"legal_name": "Bonny Khalwale",
"slug": "bonny-khalwale"
},
"content": "Bw. Spika wa Muda, nasimama kwa hoja ya nidhamu. Je, ni haki kwa Kiongozi wa Walio Wachache katika Seneti hii kuwaeleza Wakenya kwamba ndani ya Bunge hili ni wewe na yeye peke ambao mnafahamu Lugha ya Kiswahili?"
}