GET /api/v0.1/hansard/entries/590614/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 590614,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/590614/?format=api",
    "text_counter": 277,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "October 13, 2015 SENATE DEBATES 32 Sen. Orengo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Nidhamu, Bw. Spika wa Muda. Hata kama hayo ni mawazo yake, lazima yawe mawazo ya ukweli sisi tumeishi Dar es salaam, na wale ambao wanajua Kiswahili sanifu tunaweza kuwatambua. Kwa hivyo, pamoja na kwamba Sen. Wetangula ni kiongozi wangu, nikukosa adabu sana kusema kwamba ni ninyi pekee ambao mnaweza kuongea Kiswahili. Sisi tumekaa Ugunja kwa “miaka mirefu” sana. Kwa hivyo, Bw. Spika wa Muda, lazima urekebishe usemi huo kwa sababu watu wanatusikiza."
}