GET /api/v0.1/hansard/entries/590615/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 590615,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/590615/?format=api",
"text_counter": 278,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Okong’o",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 948,
"legal_name": "Kennedy Mong'are Okong'o",
"slug": "kennedy-mongare-okongo"
},
"content": "Hoja ya nidhamu. Bw. Spika wa Muda. Kwa vile sasa yaonekana tukifanya majadiliano kuhusu Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Tanzania, ingelikuwa vyema utumie kipengee cha kwanza cha Kanuni za Seneti kuhakikisha kwamba kila atakayezungumza anaongea kwa Lugha ya Kiswahili. Hiyo itakuwa heshima kwa wale ambao wanataka kusema wana ubabe wa Kiswahili, tujadiliane kwa Lugha ya Kiswahili."
}