GET /api/v0.1/hansard/entries/590617/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 590617,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/590617/?format=api",
    "text_counter": 280,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Muthama",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 96,
        "legal_name": "Johnson Nduya Muthama",
        "slug": "johnson-muthama"
    },
    "content": "Bw. Spika wa Muda, nimeshangazwa kuona kiongozi wangu akisimama mbele ya Seneti hii na kusema kwamba wanaozungumza Lugha ya Kiswahili sanifu na yenye ufasaha ni yeye na Spika. Amesahau kwamba tukiwa Kenyatta International Convention Centre (KICC), County Hall, na hata hapa hajawai kutoa taarifa hata siku moja kwa Lugha ya Kiswahili. Mhe. Spika wa Muda, kama kuna watu wanafaa kutajwa kwa kuzungumza Kiswahili ni mimi na nimeshangazwa kuwa amenisahua. Yapaswa kuwa wewe na mimi na wengine wanafuata. Yeye ana jaribu kuweka masafa ya kufuatilai lakini hayatafua dafu. Amekosea na yafaa arekebishe."
}