GET /api/v0.1/hansard/entries/590620/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 590620,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/590620/?format=api",
    "text_counter": 283,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Wetangula",
    "speaker_title": "The Senate Minority Leader",
    "speaker": {
        "id": 210,
        "legal_name": "Moses Masika Wetangula",
        "slug": "moses-wetangula"
    },
    "content": " Asante, Bw.Spika wa Muda, kwa kunipa nafasi ya kutumia lugha nyingine kinyume na Kanuni za Seneti hii. Kwanza umemsika ndugu yangu, Sen.Orengo, akizungumza lugha anayodai ni sanifu na ansema alikaa Ugunja kwa “miaka mirefu”. Hakuna Kiswahili kama hicho.Unaweza kukaa kwa miaka mingi au miaka michache, au muda mrefu lakini hauwezi kukaa miaka mirefu kwa sababu, miaka ni miaka hakuna miaka mifupi wala miaka mirefu. Mhe.Spika wa Muda, Hotuba ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete ilikuwa ya kufana. Ilikuwa ni Hotuba ambayo ilileta mwelekeo mpya na mwelekeo wa kusaidia kanda hii ya Afrika Mashariki. Ninamfahamu Rais Kikwete na ni rafiki yangu, yeye ndiye rais pekee ambaye hutoa hotuba katika mikutano ya Umoja wa Afrika kwa Lugha ya Kiswahili. Lugha ya Kiswahili ni part ya ya lugha zile ambazo zimetambulika kama lugha rasmi ya"
}