GET /api/v0.1/hansard/entries/590647/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 590647,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/590647/?format=api",
"text_counter": 310,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Tanzania kwa kuja Kenya. Aliongea mbele yetu tukasikia na hata wananchi wa Jamhuri ya Tanzania walisikia akisema kwamba atatii sheria za nchi yake. Pia, alisema kuwa atamwachia uongozi rais atakayechaguliwa kwa njia ya kidemokrasia kufuatia uchaguzi utakaofanyika kwa muda wa wiki mbili zijazo. Tunatumai kuwa tutaendelea kuwa na uhusiano mwema katika biashara ili kuimarisha maisha ya wananchi wa Kenya na Tanzania. Kwa hayo machache, Bw. Spika wa Muda, naunga mkono Hoja hii."
}