GET /api/v0.1/hansard/entries/590657/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 590657,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/590657/?format=api",
    "text_counter": 320,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "The Temporary Speaker",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "(Sen. (Dr.) Machage): Nidhamu. Sidhani kwamba lazima Seneta afafanue maana ya kila msamiati. Pengine itakuwa bora utafute Kamusi ili uangalie maana ya misamiati hiyo au tafsiri ya maneno yanayosemwa. Naomba tumwache aendelee. Pengine ungemsikiliza vizuri, labda ungepata maana kutokana na mchango wake. Kwa hivyo, naomba utulie na umsikilize kwa sababu huenda ana jambo la kusema. Si nidhamu kumwambia atumie Kamusi kukueleza maana ya kila neno la Kimombo analotumia."
}