GET /api/v0.1/hansard/entries/590677/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 590677,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/590677/?format=api",
    "text_counter": 340,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Kabla sijamaliza, kuna swala muhimu ambalo linahusu Wakenya wanaokwenda kutafuta kazi katika nchi ya Tanzania. Pesa wanazotozwa kama ushuru ni nyingi sana. Hayo ni baadhi ya maswala ambayo ningependa Wizara husika ijadiliane moja kwa moja na Serikali ya Tanzania ili Wakenya wasilipishe ushuru mwingi wanapokwenda kufanya kazi huko. Kwa hayo machache, Bw. Spika wa Muda, naunga mkono Hoja hii."
}