GET /api/v0.1/hansard/entries/591253/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 591253,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/591253/?format=api",
    "text_counter": 319,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Nassir",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 2433,
        "legal_name": "Abdulswamad Sheriff Nassir",
        "slug": "abdulswamad-sheriff-nassir"
    },
    "content": "Mtu ambaye naweza kumuita babu yangu kwa umri wake, mimi kama Mbunge wa Mvita, amefurishwa uso kwa kutandikwa. Mengi yalifanyika. Watu wengine takriban 180 zaidi walitolewa; si kwa sababu ya jambo lingine bali kushindwa kutoa hongo. Wangapi wamepotezwa? Hivi juzi pekee katika maeneo ya Majengo, mwingine amepotezwa na hatujui hatima yake ni ipi. Nasema hivi, tulifika hapa na kuchukua kiapo kuwa tungewawakilisha waliotupigia kura. Leo, tunatoa uhakikisho wa kitu kimoja: Kwa mujibu wa njia za sheria, tutahakikisha tutaweka sheria ili walio na nafsi za dhuluma na wenye kuchukua sheria katika mikono yao, itafika siku kila aliyeteswa tutakaa chini na kuangalia tukiweza---"
}