GET /api/v0.1/hansard/entries/591872/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 591872,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/591872/?format=api",
"text_counter": 384,
"type": "speech",
"speaker_name": ". Hon. Mwadeghu",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 98,
"legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
"slug": "thomas-mwadeghu"
},
"content": "Asante kwa nafasi hii, Mhe. Naibu Mwenyekiti wa Muda. Kipengele hiki kinahujumu Wabunge vile kilivyo. Kuhusu nguvu zinazopendekezwa kwa maafisa wa usalama humu ndani, nina uoga na wasiwasi kuwa watatumia nafasi hiyo vibaya. Kwa hivyo, namuomba aliyeanzisha kipengele hiki, Mhe. Keynan, atafute mbinu ya kukiondoa ili ahakikishe kuwa kimerekebishwa ili kilete sera aliyoitaka katika sheria hiyo. Sikubaliani na hiki kipengle kabisa."
}