GET /api/v0.1/hansard/entries/592404/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 592404,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/592404/?format=api",
"text_counter": 186,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. (Dr.) Machage",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 179,
"legal_name": "Wilfred Gisuka Machage",
"slug": "wilfred-machage"
},
"content": "Nashukuru, Bw. Naibu Spika. Kusudi taifa letu tulijenge sote kwa dhati na kwa uangalifu, tukuze uchumi bora, maendeleo yawe ya kisasa na bora, watoto wafundishwe bila walimu kuenda mgomo, watu wapate matibabu kwa wakati uliofaa, tusiwe na vifo ambavyo havifai kama juzi wakati mgonjwa aliachwa ndani ya ambulansi kwa masaa kumi na nane, aibu. Ni wajibu wetu sisi tukiwa viongozi kuangalia udhaifu kama huu kwa Katiba na kurekebishwa. Naunga mkono."
}