GET /api/v0.1/hansard/entries/594278/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 594278,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/594278/?format=api",
"text_counter": 91,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Mwaura",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13129,
"legal_name": "Isaac Maigua Mwaura",
"slug": "isaac-mwaura"
},
"content": "Asante sana, Naibu Spika wa Muda. Ningependa kuyaunga mkono mapendekezo haya kutoka Bunge la Seneti. Hivi vipengele vinaleta mambo mazuri kwa wasee wa nchi hii. Hii hali ya kukosa maji na kuwa na ukame ni kitu tunafaa kufikiria sana sisi kama wasee wa Bunge kwa sababu kuna vijana wengi sana wanakosa doo---"
}