GET /api/v0.1/hansard/entries/594395/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 594395,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/594395/?format=api",
    "text_counter": 208,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Kombe",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 250,
        "legal_name": "Harrison Garama Kombe",
        "slug": "harrison-kombe"
    },
    "content": "Nikiendelea mbele, kuna sehemu nyingi ambazo zinahitaji kuangaliwa katika uwekaji wa stakabadhi za kiafya. Katika nyanja zote zile za afya inastahili kuweze kuwa na njia mwafaka ambayo itazifanya stakabadhi ziweze kuhifadhiwa katika taarifa moja, ili zikihitajika wakati wowote, liwe ni swala tu la kubonyeza mitambo kama inavyostahili, na taarifa yote ya mgonjwa itokee. Hivyo basi, kazi ya kuendeleza shughuli za kimatibabu itarahisishwa."
}