GET /api/v0.1/hansard/entries/594552/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 594552,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/594552/?format=api",
    "text_counter": 149,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Gathogo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 2715,
        "legal_name": "Esther Nyambura Gathogo",
        "slug": "esther-nyambura-gathogo"
    },
    "content": "sana kwa sababu mimi ni mama wa boda boda . Wakati mwingi, mtu wa boda boda akiendesha boda boda, hawezi kupiga mtu risasi. Mtu aliye na bunduki ndiye atamkodisha. Tafadhali sio mwendeshaji ndio anapiga risasi na sisemi hivyo kwa sababu mimi ni rafiki wa watu wa boda boda . Ahsante, Mhe. Naibu Spika wa Muda."
}