GET /api/v0.1/hansard/entries/594695/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 594695,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/594695/?format=api",
    "text_counter": 77,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Boy Juma Boy",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 758,
        "legal_name": "Boy Juma Boy",
        "slug": "boy-juma-boy"
    },
    "content": "Bw. Spika, nimefurahi kwa sababu inaonekana sasa Kiswahili chafuatiliwa vizuri kwa sababu sasa ndio tunapoenda katika utamu wake na ladha yake. Nilichosema mimi ni kwamba “sifikirii”. Kufikiria ni kwamba jambo hilo haliko katika mawazo yangu. Kwa hivyo, niliposema sifikirii kwamba kuna Seneta anayeweza kununuliwa kiurahisi, ni fikira ambayo haipo wala jambo hilo haliko. Ni fikra ambazo nimezileta. Yaani hata hauwezi kuliwaza jambo kama hilo. Ninawashukuru kwa maana yaonekana kidogo Kiswahili chaanza kufufuka ndani ya Seneti. Bwana Spika, nikiendelea ni kwamba Hoja hii ni ya moja kwa moja---"
}