GET /api/v0.1/hansard/entries/594821/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 594821,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/594821/?format=api",
"text_counter": 90,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Hassan",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 431,
"legal_name": "Hassan Omar Hassan Sarai",
"slug": "hassan-omar-hassan-sarai"
},
"content": "Bw. Spika, naungana nawe kuwatakia ndugu zetu kutoka Lamu ambapo kitovu chao na cha Mombasa kimeshikana kabisa kwa undugu. Ninawatakia wakati mwema katika Seneti. Natumai watakuwa washikadau wakubwa katika mstari wa mbele kutetea ugatuzi kwa kuondoa watu wetu katika hali ya dhulma kwa sababu Lamu ni mojawapo ya kaunti ambazo zimedhirika na kudhulumiwa kwa miaka mingi. Wana fursa, kupitia ugatuzi, kuhakikisha kuwa wamerekebisha yote ili yaambatane na matarajio ya watu wao. Karibuni! Mungu awape wakati mwema katika ziara yenu katika Seneti ya Kenya."
}