GET /api/v0.1/hansard/entries/595154/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 595154,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/595154/?format=api",
"text_counter": 156,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Mwadeghu",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 98,
"legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
"slug": "thomas-mwadeghu"
},
"content": "Mhe. Naibu Mwenyekiti wa Muda, ninaomba nisikizwe. Jogoo likikutana na mwamba halizingatii kuvunja mwamba lakini huwa linazunguka mwamba. Mhe. Naibu Mwenyekiti wa Muda ninaomba umfahamishe Mhe. Duale kwamba nasi pia tulienda shule na si yeye pekee alienda shule. Ninataka pia nikuambie, avumaye baharini ni papa lakini pia kuna nyangumi. Sio lazima kila wakati yale Duale amesema yachukuliwe kama Bibilia. Wakati umefika Mhe. Duale pia aambiwe kuwa ubabe wake si ule utakua unatupeleka kila mahali."
}