GET /api/v0.1/hansard/entries/595551/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 595551,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/595551/?format=api",
"text_counter": 167,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen Haji",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 26,
"legal_name": "Yusuf Mohammed Haji",
"slug": "yusuf-haji"
},
"content": "Asante sana, Bw. Spika. Ningependa kuungana na wewe pamoja na wale wote ambao wamewakaribisha ndugu zetu. Mimi kama rafiki wa watu wa Kilifi na watu wa Mkoa wa Magharibi. Nimekuwa Mkuu wa Mkoa wao na nawaambia karibuni na ninawatakia heri na baraka za Mwenyezi Mungu. Wakati watakapokuwa pamoja na sisi, waitumie hii fursa kwa njia nzuri; kuzoea yale ambayo wamekuja kujifunza. Pia wakirudi, wasalimie wenzao ambao waliwawacha kule nyumbani. Asante sana."
}