GET /api/v0.1/hansard/entries/595636/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 595636,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/595636/?format=api",
"text_counter": 252,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kisasa",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13124,
"legal_name": "Mshenga Mvita Kisasa",
"slug": "mshenga-mvita-kisasa"
},
"content": "Asante Bw. Naibu Spika kwa nafasi hii. Ninampongeza Sen. Haji kwa huu Mswada wa Sheria. Mswada wenyewe umebobea kama mwenyewe. Hongera Sen. Haji. Ninatoa hisia zangu kuhusu mikasa ambayo inaweza kutupata. Wakati mwingine tunailaumu Serikali lakini kwa mfano pale kivukoni Likoni Ferry, kuna yale maboya ambayo yamewekwa kwenye ferry lakini hatujui kama yanafanya kazi. Ukiwa kwa ndege, unapata tangazo kwamba kuna boya chini ya kiti cha abiria lakini ni wangapi ambao wanaweza kulitumia kukitokea ajali? Bw. Naibu Spika wa Muda, kuna wakati nilikuwa Budalangi na hakukuwa na mvua wala ishara yoyote ya kunyesha lakini vyombo vya habari vilisema kuna mvua nyingi na mafuriko Budalalngi. Sheria kama hii itakomesha uwongo mwingi. Naomba Sen. Haji azingatie mafunzo ya kuepuka majanga yanapotokea. La muhimu ni watu wajue vile wanaweza kujinasua kwenye janga. Pale kwa feri Likoni, ni wachache ambao The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}