GET /api/v0.1/hansard/entries/595879/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 595879,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/595879/?format=api",
    "text_counter": 209,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Dr.) Shaban",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 139,
        "legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
        "slug": "naomi-shaban"
    },
    "content": "Kwa masuala ya Kaunti ya Makueni, hivi juzi tulisikia Mhe. Rais akisema kwamba haoni kama hiyo ndiyo njia ya kuisaidia Makueni. Vile vile, kwa tume itakayotengenezwa kuangalia masuala haya ya Meja Mstaafu Shadrack Muiu, wakipata habari kwamba anaendelea vizuri, basi Mhe. Rais ataamua. Mhe. Spika, ninaomba wenzangu wote tuunge mkono Hoja hii ya kumuruhusu Meja Mstaafu Shadrack Muiu---"
}