GET /api/v0.1/hansard/entries/595952/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 595952,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/595952/?format=api",
"text_counter": 282,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Leshoomo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 379,
"legal_name": "Maison Leshoomo",
"slug": "maison-leshoomo"
},
"content": "Asante sana, Naibu Spika wa Muda, kwa kunipatia hii nafasi nichangie Hoja hii. Kwa kweli, kuna mambo ambayo watu wanaona ni magumu kwa kila Mkenya. Kulingana na hii Ripoti, Maj. (Rtd.) Muiu, ingekuwa muhimu ikiwa mtu amekuwa mgonjwa--- Huwezi kujiletea ugonjwa. Hakuna mtu anajua ugonjwa unaweza kuingia mwilini mwake siku gani lakini wakati unawahudumia Wakenya na uwe mgonjwa, ni muhimu utambuliwe kama shujaa wa Kenya na ukiondoka kazini, uondoke inavyostahili."
}