GET /api/v0.1/hansard/entries/596193/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 596193,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/596193/?format=api",
    "text_counter": 222,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Nakara",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 2926,
        "legal_name": "John Lodepe Nakara",
        "slug": "john-lodepe-nakara"
    },
    "content": "Kwa kumalizia, tuna kongamano katika Kaunti ya Turkana linaloanza tarehe tano mwezi wa Novemba hadi tarehe saba. Utakuwa ni wakati mzuri ikiwa wewe ni mwekezaji uje katika kongamano hilo la wafanyi biashara na wawekezaji ambao wanataka kuwekeza katika Kaunti ya Turkana. Kaunti ya Turkana ina nafasi nyingi za biashara. Nawaalika wabunge wenzangu waje na kupata nafasi ya kuwekeza katika Kaunti ya Turkana. Kaunti hiyo ina rasilimali kama ardhi, maji, petroli na vitu vingine vizuri. Nawatakia heri njema."
}