GET /api/v0.1/hansard/entries/596643/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 596643,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/596643/?format=api",
"text_counter": 36,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Gichigi",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 1909,
"legal_name": "Samuel Kamunye Gichigi",
"slug": "samuel-kamunye-gichigi"
},
"content": "Ahsante sana Mhe. Spika. Hata mimi ningependa kuchangia kwa kusema kuwa ule ufisadi ambao tumekuwa tukiona katika sehemu hizo--- Kama tume ya kupigana na ufisadi na Mkuu wa Mashtaka katika nchi hii hajui hali ilivyo, inaamanisha kuwa tuna vyombo kadhaa vya Serikali ambavyo vimelala. Mahakama pia inachangia ufisadi katika nchi hii. Si vyema kama mfanyakazi anaenda mahakamani na kupata amri ya kutotii kuhamishwa kwake. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}