GET /api/v0.1/hansard/entries/596644/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 596644,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/596644/?format=api",
    "text_counter": 37,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Gichigi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 1909,
        "legal_name": "Samuel Kamunye Gichigi",
        "slug": "samuel-kamunye-gichigi"
    },
    "content": "Akiambiwa aondoke katika hivyo vipimo vya uzani vya magari anakataa kuondoka kisha anaenda mahakamani na mahakama inasema aendelee kukaa hapo. Mahakama pia inachangia ufisadi. Kwa hivyo, Mkuu wa Mashtaka, tume ya kupigana na ufisadi na mahakama zetu zimesaidia sana kuongeza huo ufisadi. Ahsante sana."
}