GET /api/v0.1/hansard/entries/597934/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 597934,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/597934/?format=api",
"text_counter": 84,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. (Dr.) Machage",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 179,
"legal_name": "Wilfred Gisuka Machage",
"slug": "wilfred-machage"
},
"content": "Bw. Naibu Spika, niruhusu niwakaribishe na kuwapongeza viongozi kutoka Homa Bay, ambayo ni Kaunti jirani. Ninafuraha, taathima na heshima, kuwatukuza viongozi hawa kwa kufika hapa siku ya leo, kwa ajili ya kujifunza. Huu uwe mfano bora kwa viongozi wa Kaunti ya Migori ambao tabia yao ni vita tu na kula rushwa. Natumai kwamba nyinyi hamna tabia kama hiyo."
}