GET /api/v0.1/hansard/entries/597954/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 597954,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/597954/?format=api",
"text_counter": 104,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Bw. Naibu Spika, asante kwa kunipa nafasi hii. Ninaungana na wenzangu kuwakaribisha viongozi wa Kaunti ya Homa Bay. Wako hapa leo kwa minajili ya kuelewa jinsi ya kuendeleza serikali ya mashinani. Ni jambo la muhimu kwamba viongozi wa Homa Bay wamefika hapa na natumai watajifunza mambo mengi. Hatimaye, watakaporudi nyumbani, watakuwa vielelezo vya uongozi huko kwao. Nawahimiza kwamba ufisadi usipelekwe katika serikali za kaunti. Ninahakika kwamba kuja kwao hapa watajifunza mengi. Bw. Naibu Spika, sina la ziada ila kukushukuru kwa kuruhusu viongozi wa Kaunti ya Homa Bay kuja hapa kuungana nasi ili waweze kujifunza jinsi ya kuendeleza serikali za kaunti."
}