GET /api/v0.1/hansard/entries/598334/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 598334,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/598334/?format=api",
    "text_counter": 86,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Chea",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 1694,
        "legal_name": "Mwinga Gunga Chea",
        "slug": "mwinga-gunga-chea"
    },
    "content": "Suala la afya kwa Jamhuri yetu ya Kenya, kama vile wengi tunavyofahamu ni kwamba, baada ya kupitisha Katiba yetu mwaka wa 2010, iliweza kuweka uongozi mara mbili, kwanza kwa Serikali Kuu na pili kwa serikali ya ugatuzi. Masuala ya kuwafundisha na labda kuwaongeza ujuzi ndio masuala ambayo yamewekwa katika Serikari Kuu. Serikali gatuzi imewekewa yale masuala mengine ikiwa ni hospitali, zile zahanati ndogo ndogo na pia yale masuala yanayohusu afya."
}