GET /api/v0.1/hansard/entries/598335/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 598335,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/598335/?format=api",
"text_counter": 87,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Chea",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 1694,
"legal_name": "Mwinga Gunga Chea",
"slug": "mwinga-gunga-chea"
},
"content": "Katika kuchangia Hoja hii, ni kweli kuna masuala mengi sana ya dharura ambayo yanahitaji kuangaliwa kwa kina. Tumeona watu wetu katika Jamhuri ya Kenya wakipoteza maisha yao kwa sababu kwanza, ya ukosefu wa vifaa vizuri katika hospitali hizi na pili, pia matibabu ambayo yanastahili ndio waweze kuepuka maafa."
}