GET /api/v0.1/hansard/entries/598376/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 598376,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/598376/?format=api",
    "text_counter": 128,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Gathogo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 2715,
        "legal_name": "Esther Nyambura Gathogo",
        "slug": "esther-nyambura-gathogo"
    },
    "content": "Asante Mhe. Naibu Spika wa Muda kwa kunipa nafasi nichangie na kuunga mkono Hoja iliyo mbele yetu. Ninamshukuru Mhe. Musyoka kwa kuileta Hoja hii na kufikiria mambo ya afya katika maisha yetu. Mambo mengine yatakuwa sawa mtu akiwa na afya njema. Ni vizuri tuwape ujuzi wale tuwezao kwa sababu tumesikitika sana siku hizi kwa mambo yanayowakumba akina mama, haswa wakati wa kujifungua. Katika eneo langu la uwakilishi, tumekuwa na shida sana. Akina mama wanakufa wakijifungua na kuwaacha watoto au wanakufa pamoja na watoto labda kwa sababu watu wanakosa ujuzi wa huduma ya kwanza. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}