GET /api/v0.1/hansard/entries/598403/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 598403,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/598403/?format=api",
    "text_counter": 155,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Chidzuga",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 751,
        "legal_name": "Zainab Kalekye Chidzuga",
        "slug": "zainab-kalekye-chidzuga"
    },
    "content": "Shukrani Mhe. Naibu Spika wa Muda. Kwanza, ninampongeza Daktari Susan kwa Hoja hii ambayo ameileta kwa wakati unaofaa. Tukiangalia hali ilivyo nyanjani panapotokea ajali, tunakuta ni hali ya kusikitisha sana. Tutafaidika tutakapowapatia vijana wetu elimu maalum inayosimamia mambo ya ajali. Kwa mfano, pale kwangu Kwale, kulitokea ajali ambapo mama mmoja ambaye alikuwa ameumia uti wa mgongo--- Kwa vile watu hawakuwa na ujuzi wa kuokoa majeruhi, huyo mama, mwishowe alipoteza maisha yake. Kwa hivyo, hii isiwe tu katika hali ya kuelimisha watu peke The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}