GET /api/v0.1/hansard/entries/598406/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 598406,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/598406/?format=api",
    "text_counter": 158,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Chidzuga",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 751,
        "legal_name": "Zainab Kalekye Chidzuga",
        "slug": "zainab-kalekye-chidzuga"
    },
    "content": "ambazo zina kila kitu ndani. Lakini hakuna watu ambao wanaujuzi wa kuvitumia. Kwa hivyo, hayo magari pia yamesimama. Wakati tutaweza kuleta hii elimu na zile ambalanzi tulizo nazo ziweze kuwekwa vifaa maalum mle ndani, tutaweza kuwahudumia wagonjwa kabla hawajafika katika hospitali."
}