GET /api/v0.1/hansard/entries/599572/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 599572,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/599572/?format=api",
    "text_counter": 359,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Bi. Spika wa Muda, jambo lingine ambalo ningependa kuchangia ni kwamba, ni jinsi ambavyo sisi tunalipa pesa za Bodi ya Mikopo kwa Wanafunzi (HELB) . Kama Mswada huu utachelewa, vile vile hawa watoto wapewe stakabadhi zao kisha watalipa polepole katika siku za usoni lakini kila mtu apate stakabadhi yake ili kila mtu acheke kama kibogoyo aliyepewa meno. Ninaunga mkono Mswada huu."
}