GET /api/v0.1/hansard/entries/600653/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 600653,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/600653/?format=api",
    "text_counter": 226,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Hassan",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 431,
        "legal_name": "Hassan Omar Hassan Sarai",
        "slug": "hassan-omar-hassan-sarai"
    },
    "content": "Hoja ya nidhamu Bw. Spika wa Muda, mimi ni mmoja wa wale ambao wanatetea sana maswala ya kijinsia na ya akina mama. Lakini je, Sen. Kisasa yu sawa kusema kwamba mila ambayo ni tamaduni zetu kama Waislamu ambayo ni amri ya Mwenyezi Mungu kuwa akina mama kujitanda ni za maonevu? Wajua mila sio moja. Katika mila zingine, maonevu kwa mwingine, ni dini kwa mwingine."
}