GET /api/v0.1/hansard/entries/603592/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 603592,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/603592/?format=api",
"text_counter": 32,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Wekesa",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 2742,
"legal_name": "David Wafula Wekesa",
"slug": "david-wafula-wekesa"
},
"content": "Yes, it is. Ahsante sana Mhe. Naibu Spika kwa kunipa fursa hii ili nami nichangie ombi la maskwota ambao wanatoka Trans Nzoia. Nikisimama hapa, ninaongea kama mtoto halisi wa skwota namba moja kutoka Trans Nzoia County. Sisi sote tunajua kwamba suala la maskwota humu nchini ni kizungumkuti sana hasa Trans Nzoia ambayo ni lindi la maskwota. Sisi kama viongozi wakutoka Trans Nzoia tunaiomba hii Kamati ambayo inahusika na hili suala, iangalie hili suala kwa makini sana. Tunastaajabu kwamba mara nyingi Serikali imekuwa ikitoa maskwota sehemu zingine na kuwapa makazi Trans Nzoa ilhali maskwota halisi wa kutoka Trans Nzoia hawana mashamba. Ahsante sana. Ninaunga mkono ombi hili."
}