GET /api/v0.1/hansard/entries/603646/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 603646,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/603646/?format=api",
    "text_counter": 86,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Mwadeghu",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 98,
        "legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
        "slug": "thomas-mwadeghu"
    },
    "content": "Mhe. Naibu Spika, kama kuna masahihisho yoyote ambayo yanahitajika, ni jambo la kawaida watu kusahihishana. Ninaomba niwafahamishe Wabunge kuwa Baba Mtakatifu atawasili kesho. Wabunge wamealikwa na Serikali waende Ikulu kesho wawe pamoja na Rais akimpokea na kumkaribisha Baba Mtakatifu katika Ikulu hapo kesho. Kila Mbunge amepatiwa cheti cha mwaliko. Iwapa kuna Mbunge ambaye hajakipata cheti hicho, ninamshauri aende kule sebuleni akakichukue. Pia, kuna pasi ya gari. Hapo awali tulifikiria tutapata basi ili tuende pamoja lakini imeamuliwa kuwa kila Mbunge yuko huru The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}