GET /api/v0.1/hansard/entries/603884/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 603884,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/603884/?format=api",
"text_counter": 324,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Mwadime",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 2451,
"legal_name": "Andrew Mwadime",
"slug": "andrew-mwadime"
},
"content": "Ahsante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Msukumo wa Katiba unaenda sambaba na vile Kamati ya Hazina ya Ustawi wa Maeneo Bunge imeelezea. Lakini wangefanya marekebisho katika kipengele kinachozungumzia wanaosimamia pesa hizo, haswa wale ambao wameajiriwa na Serikali Kuu kama CDF managers. Hao ni watu wakora. Ikiwezekana, tuwe na mfumo mpya wa kuwaajiri mameneja wanaosimamia fedha hizo mashinani."
}