GET /api/v0.1/hansard/entries/604161/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 604161,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/604161/?format=api",
"text_counter": 8,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Mositet",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 608,
"legal_name": "Peter Korinko Mositet",
"slug": "peter-korinko-mositet"
},
"content": "Bw. Spika, jana Naibu wa Mwenyeketi alitueleza kwamba tutapata arifa hii lakini Mwenyekiti ameomba nafasi nyingine ili ailete wiki ijayo. Kama nilivyo sema familia za wale vijana ambao waliuawa kinyama wana mshtuko sana kwa sababu mpaka leo hawajui Serikali imefikisha wapi uchunguzi. Pia hawajui watapata haki yao lini. Kulingana na vile Mwenyekiti amesema, pia anaingoja arifa hii kutoka kwa Wizara ili aweze kutuelezea. Hata kama ningetaka kumpinga, hana mamlaka mpaka aiongoje arifa. Lakini naomba kwamba ile Wizara inayohusika ihakikishe kwamba wakati tunapouliza---"
}