GET /api/v0.1/hansard/entries/605255/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 605255,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/605255/?format=api",
    "text_counter": 334,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Muthama",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 96,
        "legal_name": "Johnson Nduya Muthama",
        "slug": "johnson-muthama"
    },
    "content": "Mheshimiwa Spika wa Muda, ninashukuru sana, lakini moyo wangu ni mzito. Ninasimama hapa bila maneno ya kuzungumza kwa sababu nimewaza baada ya kuusoma Mswada huu, nikaangalia na nikasikiza maneno yaliyotajwa na wenzangu. Lakini sarakasi yenyewe ni kwamba hata tupiganie pesa hizi usiku na mchana The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}