GET /api/v0.1/hansard/entries/605263/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 605263,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/605263/?format=api",
    "text_counter": 342,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "sio Wabunge wa Kenya na wanaongea kama watoto wa mama mmoja. Wanasema kwamba watahakikisha ya kwamba Dkt. Monica Juma hapati kazi katika Serikali yetu. Pia, wanataka Bw. Tobiko aondolewe kwa sababau anapeleka watu kortini. Ingelikuwa mtu mwingine, hungewasikia wakisema aondolewe afisini. Bw. Spika wa Muda, naunga."
}