GET /api/v0.1/hansard/entries/60544/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 60544,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/60544/?format=api",
"text_counter": 255,
"type": "speech",
"speaker_name": "Dr. Machage",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 179,
"legal_name": "Wilfred Gisuka Machage",
"slug": "wilfred-machage"
},
"content": "Bw. Naibu Spika wa Muda, ukiangalia barabara vile ziko Kenya hii, na hiyo imepitishwa barabara zinalimwa, na tunajivunia. Tumepiga hatua. Barabara zimelimwa na hospitali zimejengwa. Lakini sasa nauliza: Mimi kwangu kuna nini? Barabara hizi zimelimwa wapi? Uhuru ni nini? Ikiwa mimi ni mchochezi, basi turudi kizimbani. Serikali ya mseto imekuwa Serikali ya kusetiana. Hakuna mwendo mbele. Ombi langu ni kwamba vigogo hao waonyesha mfano bora, waongoze vizuri na wamewekwa hapo na Mungu. Ninataka waangalie wanyonge ili wasinyanyazwe na kukanyagwa, kwa sababu watakuja kujibu siku za kiama."
}